Raia yeyote wa Tanzania mwenye akili timamu na umri wa miaka kuanzia 18 mkazi wa Dar es salaam anaruhusiwa kujiunga na SACCOS yetu . mambo yafuatayo yanatakiwa kutimizwa na mwanachama anayetaka kujiunga:
MTU BINAFSI
Sifa/ mahitaji ya kujiunga WAT SACCOS kwa mtu binafsi