WAT SACCOS ni Chama cha Ushirika cha Akiba na Mikopo.Ambacho
kinanuia kuinua na kustawisha hali ya uchumi na maisha ya maisha ya wanachama wake.
Chama cha Ushirika cha Akiba na Mikopo
WAT
kilianzishwa mwaka 1998 chini ya sheria ya
ushirika ya mwaka 1991.kimesajiliwa kwa nambari DSR 596
Ofisi kuu zipo Kinondoni, tawi lingine lipo Mwenge linalotoa huduma za kuweka na kukopa
kwa wanachama wake.
Karibu Tukuhudumie